Habari za Punde

PBZ Yaipiga Jeki Timu ya Wazee Sport Club Zanzibar Yaikabidhi Seti Mbili za Jezi na Viatu Kuweza Kushiriki Michuano ya Veterani Jijini Dar es Salaam March 28, 2018.

Maafisa wa PBZ Zanzibar wakabidhi Vifaa vya Michezo kwa Katibu wa Timu ya Wazee Sport Club Zanzibar Seif Maya, hafla hiyo imefanyika katika Afisi za PBZ Tawi la Malindi Unguja kushoto Samha Hassan AfisaMuandamizi wa Masoko na Huduma kwa Wateja Anasi Ramadhani na wa mwisho Afisa wa PBZ, Mohammed Yussf. wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa makabidhiano hayo. 
Afisa Muandamizi wa Mosoko na Huduma kwa Wateja PBZ Anasi Ramadhani akimkabidhi Seti ya Jezi Katibu wa Timu ya Wazee Sport Club Zanzibar Seif Maya, hafla hiyo imefanyika katika Afisi za PBZ Tawi la Malindi UngujaTimu hiyo inajiandaa ni michuano ya Veterani wa Mchezo wa Soka Tanzania michuano hiyo inatarajiwa kufanyika Jijini Da es Salaam Mwezi marchi kuazia tarehe 28, 2018. Na kushirikisha Timu za Veterani wachezaji wa zamani Tanzania.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.