Habari za Punde

Waziri Mhe. Haroun Ali Suleiman Azindua Namba za Wateja Kuwasiliana na ZAECA 113 Kutowa Taarifa

Waziri wa Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman akizungua Namba ya Huduma Kwa Wateja ya ZAECA 113, kwa ajili ya mawasiliano ya kutowa taarifa kupitia nama hiyo kuripota taarifa za Rushwa Zanzibar hafla hiyo ya uzinduzi imefanyika katika ukumbi wa Shirika la Bima Zanzibar mpirani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.