Habari za Punde

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Rais Mstaaf wa Tanzania. Dkt. Jakaya Kikwete Atembelea Majengo ya Taasisi ya Sayansi za Baharini Buyu Zanzibar.

Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Rais Mstaaf wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete atembelea Majengo la Taasisi ya Sayansi za Baharini Buyu Zanzibar na kutembelea maonesho ya Wajasiriamali wa Zao la Mwani Zanzibar wanasimamiwa na Taasisi hiyo. Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Rais Mstaaf wa Tanzania akiwa katika picha ya pamoja na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar baada ya hafla yake kutembelea Majengo ya Taasisi ya Sayansi za Baharini na kuzungumza na Wafanyakazi wa Taasisi hiyo huko Buyu Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.