Habari za Punde

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA USIMIKAJI WA MFUMO WA RADA 4 KATIKA VIWANJA VYA NDEGE VINNE NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la msingi mfumo wa usimikaji wa Rada katika viwanja vinne vya ndege (Mwalimu Julius Nyerere-Dar es Salaam, Mwanza, KIA-Kilimanjaro na Songwe katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  akipata maelezo ya toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa anga TCAA Bw. Hamza Johari  katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la uzinduzi wa mradi wa mfumo wa rada za kuongozea ndege za kiraia katika vituo vinne vya JNIA, KIA, Mwanza na Songwe iliyofanyika kwenye uwanja wa ndege wa kimataiafa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli   akisalimiana na Msanii wa Bongo Fleva Naseeb Abdul maarufu kama Diamond ambaye alikuwepo kushuhudia uwekaji wa jiwe la msingi la uzinduzi wa mradi wa mfumo wa rada za kuongozea ndege za kiraia katika vituo vinne vya JNIA, KIA, Mwanza na Songwe iliyofanyika kwenye uwanja wa ndege wa kimataiafa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza mwanamuziki wa Bongo flavor Naseeb Abdul-Diamond platinum mara baada ya kuweka jiwe la msingi mfumo wa usimikaji wa Rada katika viwanja vinne vya ndege (Mwalimu Julius Nyerere-Dar es Salaam, Mwanza, KIA-Kilimanjaro na Songwe katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.