Habari za Punde

RC na DC kusini Pemba wamkagua baba mzazi wa mwanahabari Juma Mmanga


Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Hemed Suleiman Abdalla na mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, wakimjulia hali baba mzazi wa Mwanahabari maarufu Juma Mmanga , alielazwa katika Hospitali ya Chake Chake Pemba.

Picha na Bakar Mussa-PEMBA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.