MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya kwa ajili ya watu
wenye ulemavu wa akili Zanzibar (ZAPDD) Mkubwa Ahmed Omar akifungua mkutano wa
wadau wa mradi wa kuboresha mazingira ya upatikanaji wa haki kwa watu
wenyeulemavu wa akili, mkutano uliofanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WADAU wa Mradi wa Kuboresha mazingira ya upatikanaji
wa haki kwa watu wenyeulemavu wa akili Zanzibar, wakiwa katika mkutano wa tatu
ya mradi huo, mkutano uliofanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MRATIBU wa Mradi wa kuboresha mazingira ya
upatikanaji wa haki kwa watu wenyeulemavu wa akili Zanzibar, Khamis Abdalla
Sururu akiwasilisha ripoti ya mradi huo kwa mwaka 2017, kwa wadu wake huko
mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
HAKIMU wa Mahakama ya Mkoa wa Kusini Pemba, Khamis
Ali Simai akichangia ripoti ya mradi wa kuboresha mazingira ya upatikanaji wa
haki kwa watu wenye ulemavu wa akili Zanzibar kwa mwaka 2017, huko mjini Chake
Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA uhusiano wa ZRB Zanzibar Makame Khamis
Mohamed, akimfahamisha mmoja ya wasajiliwa wapya wa ZRB, juu ya ujazaji wa fomu
mbali mbali za malipo.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
MSAIDIZI Meneja wa ZRB Pemba Ali Omar, akifungua
kikao cha wasajiliwa wapya wa ZRB Pemba, kikao hicho kilichofanyika Mjini Chake
Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment