MCHEZAJI wa Timu ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, Salim
Suleiman akiukontroli mpira na kujaribu kumpita mchezaji wa Ofisi ya Makamu wa
Pili wa Rais Pemba, ikiwa ni mwendelezo wa mashindano ya Mei Mosi, Mkoa wa
kaskazini Pemba umeubuka na ushindi wa bao 10-0 mchezo umepigwa uwanja wa
Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MCHEZAJI Hamad Khamis akipatiwa huduma ya kwanza
baada ya kuumia, wakati akiitumikia timu yake ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, ikiwa
ni mwendelezo wa mashindano ya Mei Mosi, Mkoa wa kaskazini Pemba umeibuka na
ushindi wa bao 10-0 mchezo umepigwa uwanja wa Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MCHEZAJI Khamis Abdalla wa Timu ya Mkoa wa Kaskazini
Pemba, akifunga bao lake la tatu, katika michezo ya Mei Mosi inayoendelea
kurindima katika uwanja wa Gombani, matokeo ya mchezo huo Mkoa wa Kaskazini
Pemba kuibuka na ushindi wa bao 10-0.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment