MRATIBU wa Idara ya Watu wenye Ulemavu Kisiwani
Pemba Mashavu Juma, akiwasilisha mada ya watu wenye ulemavu katika kikao cha
pamoja masheha, madiwani, viongozi wa dini na watu wenye ulemavu huko katika
ukumbi wa Jamhuri holi Wete.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Ali
Salim Matta, akizungumza katika kikao masheha, madiwani, Viongozi wa Dini na
watu wenye ulemavu, juu ya masuala mbali mbali yanayowahusu watu wenye ulemavu
Pemba, huko0 katika ukumbi wa Jamhuri Holi Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WASHIRIKI wa Mafunzo ya watu wenye ulemavu Pemba,
wakifuatilia kwa makini mafunzo hayo huko katika ukumbi wa Jamhuri Holi Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othaman,
akifungua mafunzo ya watu wenye Ulemavu huko katika ukumbi wa Jamhuri Holi Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment