Habari za Punde

CCM YARIDHIA KINANA KUJIUZURU NAFASI YA KATIBU MKUU WA CCM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu (CC) ya chama hicho  iliyokutana ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo Mei 28, 2018 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akisoma barua ya Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana (kulia) ya kumuomba kujiuzuru nafasi hiyo mbele ya wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) iliyokutana ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo Mei 28, 2018. Kushoto ni Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu wa Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt. Ali Mohamed Shein.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli,  baada ya kumkubalia, akimshukuru na kumwombea kila la heri Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana (kulia)  baada ya kusoma barua yake ya  kuomba kujiuzuru nafasi hiyo mbele ya wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) iliyokutana ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana (kulia)  akisema machache ya kushukuru baada ya  barua yake ya  kuomba kujiuzuru nafasi hiyo kukubaliwa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli  na wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) iliyokutana ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana (kulia)  akisema machache ya kushukuru baada ya  barua yake ya  kuomba kujiuzuru nafasi hiyo kukubaliwa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli  na wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) iliyokutana ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo.
(Picha na IKulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.