Habari za Punde

Daraja la Bonde la Kibondemzungu Kupata Ufumbuzi wa Ujenzi wa Daraja Kupitika Wakati Wote wa Kiangazi na Masika. Baada ya Kukamilika Michoro

Magari yakipita katika Daraja la barabara ya Kibondemzungu maji ya mvua yakiwa yamevuka katika barabara hiyo kutokana na Mvua za Masika zinazonyesha katika Maeneo mbalimbali ya Visiwa vya Unguja na Pemba.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.