Habari za Punde

Rais Dk Shein akutana na mabalozi wa CCM wilaya ya Wete

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kulia) akiwa na Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania Mhe.Thuwaiba Anton Kisasi wakiangalia ratiba mara walipoingia katika ukumbi wa mikutano wa Jamhuri Hall Wete Mkoa wa Kaskazini  Pemba katika mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Wete uliofanyika jana mgeni rasmi alikuwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu). 04/05/2018.

 Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Wete Pemba wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  alipokuwa akizungumzanao jana  katika Ukumbi wa Mikutano wa Jamhuri Hall wa Kaskazini  Pemba  akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi,[Picha na Ikulu). 04/05/2018.

 Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi waliohudhuria katika Mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Jamhuri Hall Wete  Mkoa wa Kaskazini  Pemba jana  akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi,[Picha na Ikulu). 04/05/2018. 

  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mzee Mberwa Hamad Mberwa alipokuwa akizungumza machache na kumkaribisha Naibu Katibu mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala katika mkutano wa Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi wa Wilaya ya Wete ambao Mwenyekiti wa mkutano huo alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Jamhuri Hall Wete Mjini  Kaskazini  Pemba  akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi,[Picha na Ikulu). 04/05/2018. 
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Saadala (Mabodi) alipokuwa akimkaribisha   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Jamhuri Hall Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba jana  akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi,[Picha na Ikulu). 04/05/2018. 

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisoma vifungu vya katiba ya Chama cha Mapinduzi wakati wa mkutano wa Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) Wilaya ya Wete katika Ukumbi wa Jamhuri Hall Wete  Mkoa wa Kaskazini Pemba jana akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Saadala (Mabodi),[Picha na Ikulu). 04/05/2018.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) wa Wilaya ya Wete jana katika Ukumbi wa Jamhuri Hall Mjini Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi,[Picha na Ikulu). 02/05/2018.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.