Wapenzi wa Timu ya Mlande wakishaingilia Timu yao wakati wa mchezo wao wa mwisho wa Ligi Kuu Daraja la Kwanza Unguja baada ya kuandika bao la Tatu dhidi ya Timu ya Malindi Mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya Mlandege imepata Tiketi ya kurudi Ligi Kuu ya Zanzibar kwa mwaka 2019. baada ya miaka 15 kutafuta hatua ya kurudi Ligi Kuu ya Zanzibar.
Wachezaji wa Timu ya Mlandege wakishangilia bao lao la kwanza lililopatikana katika kipindi cha pili cha mchezio huo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Katika mchezo huo Timu ya Mlandege imeshinda mabao 3-1. Na kupata tiketi ya kurudi Ligi Kuu ya Zanzibar mwakani.
No comments:
Post a Comment