Habari za Punde

TRA yatoa taaluma kwa waandishi wa habari kuhusu sheria za kodi

 Afisa Elimu na Huduma kwa walipa kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Afisi ya Zanzibar, Abdallah Seif akiwasilisha mada ya Sheria za Kodi zinazosimamiwa na Mamlaka hiyo katika mafunzo ya waandishi wa Habari ya kuwajengea uelewa wa Kodi yaliyofanyika Taasisi ya Utalii ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Maruhubi.
 Waandishi wa Habari walioshiriki mafunzo ya Sheria za Kodi zinazosimamiwa na TRA wakimsikiliza Afisa Elimu na Huduma kwa walipa kodi wa Mamlaka hiyo (hayupo pichani) yaliyofanyika  Taasisi ya Utalii ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar Maruhubi Mjini Mjini Zanzibar.

Meneja Msaidizi wa Ukaguzi wa Kodi wa TRA Afisi ya Zanzibar Mbarouk Khalid Ussi akijibu masuala ya waandishi wa Habari katika mafunzo ya kuwajengea uelewa wa Sheria za Kodi zinazosimamiwa na Mamlaka hiyo katika Ukumbi wa Taasisi ya Utalii ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar Maruhubi. PICHA NA RAMADHANI ALI - MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.