Habari za Punde

Uzinduzi wa Tawi la CCM Fuoni Michenzani jana

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Tawi la CCM Fuoni Michenzani Nd,Amina Idarusi   alipofika kulifungua Tawi hilo leo,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (Mabodi),[Picha na Ikulu.] 13/05/2018. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein  akifungua pazia kuashiria kulifungua Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani hafla iliyofanyika leo katika Wilaya ya Dimani Kichama,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (Mabodi),[Picha na Ikulu.] 13/05/2018. 
 Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Wananchama wa CCM Tawi la  Fuoni Michenzani wakimsikiliza   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozungumza nao leo mara baada ya kulifungua  Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani, [Picha na Ikulu.] 13/05/2018. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na  Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Wananchama wa CCM Tawi la  Fuoni Michenzani  leo mara baada ya kulifungua rasmi  Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani leo (kushoto) Mwenyekiti wa Tawi la CCM Fuoni Michenzani Nd,Amina Idarusi  na (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) , [Picha na Ikulu.] 13/05/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.