Habari za Punde

Wananchi Kisiwani Pemba Wajitokeza Katika Bonaza la Uchangiaji Damu Likiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba.

MAMIA ya wananchi wa Wilaya ya Chake Chake wakiwa katika foleni ya kwenda kuchunguza damu zao, wakati wa bonanza maalumu la uchangiaji wa damu kwa hiyari, lililofanyika katika uwanja wa michezo Gombani
MKUU wa Mkoa wa kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akiwaongoza viongozi wa Serikali, Taasisi binfsi na wananchi wa Mkoa huo, katika bonanza maalumu la uchangiaji damu kwa hiyari, ambapo yeye alikuwa wa kwanza kutoa damu katika bonanza hilo lililofanyika Uwanja wa Michezo Gombani
MKUU wa Kitengo cha Damu salama Zanzibar Dk Bakari Magarawa, akimtoa damu mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, kabla ya kuzindua bonanza la uchangiaji wa damu kwa hiyari, huko katika uwanja wa michezo GombaniNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.