Habari za Punde

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo Aendelea na Ziara yake Kutembelea Taasisi za Wizara Yake.

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Mahmoud Thabit Kombo Akiwa na Kiarabu kichoandikwa na Rais Mstaaf wa Zanzibar DK.Salmin Amour Juma,nikiwa katika Idara ya Nyaraka Zanzibar kwaajili ya kumbukumbu za kihistoria ya Zanzibar kwa wananchi na Wageni wanaofika kujisonea kulia Mkurugenzi wa Idara ya Nyaraka Zanzibar.Ndg.Salum Suleiman.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.