Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman Azindua Mfumo wa Usajili wa Meli na Mabaharia kwa Njia ya Kieletroniki Zanzibar

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria Katiba na Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman, akizungua Mfumo wa Usajili wa Meli na Mabaharia kwa Njia ya Kielotroniki, uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman akizungumza na wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mfumo wa Usajili wea Meli na Mabaharia kwa njia ya Kieletronikia, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Zanziba
BALOZI wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania Song Geum-young akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa Usajili ya Meli na Mabaharia Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.