Habari za Punde

Awaomba wabunge kuunga mkono vita ya dhidi ya uvuvi haramu Asisitiza Operesheni Sangara 2018 kuendelea katika maziwa mabwawa na mito


Mh.Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina(Mb)Na John Mapepele, Dodoma
Waziri wa Mifugo naUvuvi, Luhaga Mpina ameliomba radhi Bunge la Jamhuriya Tanzania kwakutofuata taratibu za kibunge kwenye utekelezaji washughuli za Wizara yake katika usimamizi waraslimali za nchi wakati maafisa waWizara walipofanya ukaguzi wasamaki wachanga kwenye mgahawa uliopo ndaniyaeneo la Bunge huku akisisitiza kwamba Operesheni Sangara 2018 itaendelea katika maziwa makuuya Tanganyika na Nyasa pamoja na maziwa madogo (RukwanaManyara), mabwawa (MteranaNyumbayaMungu) n amito nakuwaomba wabunge kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Serikali kudhibiti uvuvi haramu na biashara haramu za mazao ya uvuv inchini.

Akitoa taarifa rasmi ya Serikali mbele ya bunge tukufu kuhusu tukio la kukamatwa kwa samaki wachanga wasioruhusiwa kisheria katika mgahawa wabunge tarehe 19,Juni 2018 Mpin aalikiri kwamba watumishi hao katika kutekeleza kazi hiyo waliingia eneo la Bunge bila ya kibali cha kuwezesha kufanya zoezi hilo kwa kutokujua utaratibu.

“Napenda kusisitiza kwamba Wizara yangu haikuwa na lengo lolote lile la kudharau Bunge lako Tukufu na Ofisi ya MheshimiwaSpika” alisema

Mpinaalisemakatikatukiohilobaadayakukirikosa la kukutwa na samaki wachanga aina ya Sato kutoka Ziwa Victoria wasioruhusiwakisheria, mmiliki wa mgahawa huo Bw. Daniel Lamba alitozwafainiyaTsh. 300,000/= (shilingi lakitatu)ikiwa faini kwakosa hilo ambapo alizilipa kwakutumia akauntiyaWizarailiyopo benkiya NMB na kupewa risiti ya Serikali na samaki hao wasioruhusiwa waliondolewa katika mgahawahuo.

Alisema Bw. Lamba aliwaonyesha wakaguzi duka alilonunulia samaki hao kilo 100 lililopo maeneo ya mtaa wa Uhindini karibu na uwanja wa Nyerere Square na kufanya ukaguzi ambapo hawakukuta samaki hata mmoja. Hata hivyo wakaguzi walikagua maduka ya jirani na kubaini uwepo wa samaki wachanga katika duka la Bwana Samweli J. Kamone na kumtoza faini ya Tsh. 200,000/= (shilingi laki mbili) na kulipa faini hiyo.

Aidha Mpina alisema Wizara yake imendelea na mapambano dhidi yauvuvi haramu na biashara haramu ya mazao ya uvuvi hasa kwasamaki ainaya Sato na Sangara kutokaZiwa Victoria ambapo mapambano hayo yanafanywa kwanjia ya Operesheni ambayo inaitwaOperesheniSangara 2018 inayoendelea katika maeneo mbalimbali ya mikoaya Mwanza, Geita, Mara, KageranaSimiyu. 
Vile vile WizarainafanyaOprereshenikatikaukandawapwaniinayojulikanakamaOperesheni MATT, pia Operesheni nyingine inafanyika katika ukanda wa kiuchumi wa bahariya Hindi ijulikanayo kama OperesheniJodari.

Alisema OpereshenihizizinafanywakwamujibuwaSheria za nchii kiwemo KatibayaJamhuri ya Muunganowa Tanzania Ibaraya 27(2) ambayo inasema" watu wote watatakiwa naSheria kutunza vizuri mali ya MamlakayaNchinayapamoja, kupiga vita ainazote za uharibifunaubadhilifu, nakuendesha uchumi waTaifakwamakinikamawatuambaondiyowaamuziwahaliyabaadayeyaTaifa lao".
Aidha,OpereshenihizizinatekelezaIlaniyaUchaguziya CCM yamwaka 2015/2020 Ibaraya 27(p) ambayoinaielekezaSerikalipamojana mambo mengine" kuendelea kupambana na uvuvi haram u ili uvuvi uweendelevu na wenyetija". Pia, katikakiapo cha Ahadi ya Uadilifu kwa viongozi wa Umma ambapo ni pamojanakulindakwanguvuzoterasilimali za Taifa.

Aliongeza kwambaOpereshenidhidiyauvuviharamuzinafanyikakwakuzingatiaSheriayaUvuvinamba 22 yaMwaka 2003 pamojanaKanuni za uvuvi za Mwaka 2009, Sheriaya Uvuvi waB ahari Kuu ya Mwaka 1998 namarekebishoyakeyamwaka 2007, SheriayaMazingiranamba 20 yaMwaka 2004, SheriayaUhujumuUchumi (Economic and Organised Crime Act CAP 200 Re 2002 as amended by Act no.3 of 2016) naSheriayaHifadhi za BaharinaMaeneoTengefunamba 29 ya Mwaka 1994.

Katika Operesheni Sangara 2018 ambayo ilianza Januari, 2018 hadi sasa jumla ya watuhumiwa 3,033 walikamatwa, samaki wachanga / wakubwa wasioruhusiwa kilo gramu 332,080, mabondo kilo gramu5,723, Kokoro 9,730, kamba za kokoromita 578,178, mitumbwi 1,076, magari 141, pikipiki 125, injini 582 nanyavuharamu 545,336 zilikamatwa. 
KuwepokwahalihiyokunathibitishayakwambauvuviharamunabiasharaharamuyamazaoyauvuviimekithirikatikaZiwa Victoria.

Aidha alisema katika ukanda wa pwani Operesheni MATT inaendelea kufanyika ambapo hadi sasa mtandao wa walipuaji mabomu umesambaratishwa, mabomu ya milipuko 720, V-6 Explosives vipande 600, detonator 362, mbolea ya Urea kilo 324, mitungi ya gesi 68, vifaa vya kuzamia jozi 252 na Compressors 12 vimekamatwa. Kutokana na Operesheni hii idadi ya milipuko imepungua kwa asilimia 88.

Alisemakwenye Ukanda wa Bahari Kuu Operesheni Jodari kupambana na Uvuvi Haramu imeendeshwa baharini na angani kwa kushirikiana na Taasisi ya Kimataifa ya Sea Shepherd Global kwa kutumia Meli ya Ocean Warrior ya Taasisi hiyo ambapo ukaguzi hivi sasa umedumu kwa miezi sita mfululizo na kwa kutumia ndege aina ya Dornier 228 kutoka Serikali ya Mauritius. 
Kupitia operesheni Jodari meli 21 zimekamatwa kwa makosa mbalimbali ya uvuvi katika Ukanda wa Kiuchumi wa Bahari Kuu na kuchukuliwa hatua mbalimbali za kisheria. Kutokana na mkakati huu, hadi sasa hakuna meli hata moja ya kigeni inayovua kiholela katika maji ya Tanzania.

Aliongeza kwamba pamoja na jitihada hizo za kupambana na kutokomeza uvuvi na biashara haramu ya mazao ya uvuvi nchini, bado kumekuwa na taarifa nyingi sana za utoroshaji, kuuzwa na kupatikana kwa samaki wasioruhusiwa kisheria hasa samaki wachanga katika mabucha, supermarkets, mahoteli/migahawa na masoko hususan katika maeneo ya mikoa ya Arusha, Dar es Salaam na Dodoma.

Alisema kutokana na kuendelea kwa tatizo hilo, Wizara yake iliunda timu ya kuhakiki na kudhibiti hali hiyo ambayo inafanya kazi katika mikoa ya Arusha, Dar es Salaam na Dodoma ambapohadi sasa kumekuwa na mageti maalum kwa ajili ya kufanya ukaguzi wa mazao ya uvuvi katika maeneo ya Singida na Shinyanga.

Aidha, timu hiyo imekuwa ikifanya kaguzi za kushitukiza za mara kwa mara katika maeneo ya mabucha, supermarkets, mahoteli/migahawa na masoko na pia katika vyombo vya usafirishaji.

Alisematarehe 19 Juni, 2018 alipokuwa katika mgahawa wa Bunge, aliona samaki aina ya Sato akashuku kuwa walikuwa ni samaki wachanga wasioruhusiwa kisheria, ndipo nikamwagiza Katibu wake katika uhakiki unaoendelea wakaguzi wajiridhishe na samaki wanaouzwa katika mgahawa wa Bunge baada ya kupata vibali husika. 

Wakaguziwalimhojimmilikiwamgahawanaalikirikuwasamakihaoni Sato kutokaZiwa Victoria ambapowalibainikuwabaadhiyasamakihaoniwachangakwaniwalikuwanaurefuchiniyasentimeta 25 kinyumenaKanuni za Uvuvi zaMwaka 2009 (Kanuniya 58(2)(b)"Notwithstanding the provisions of sub-regulation (1) a person shall not fish, land, possess, process or trade in Nile tilapia or fish locally known as ‘Sato’ the total length of which is below twenty five centimetres").

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.