Habari za Punde

Shirika la Bima la Taifa Tanzania Lishiriki Katika Maadhimisho ya Siku ya Bima Zanzibar Katika Viwanja Vya Mapinduzi Square Michezani Zanzibar.


Maofisa wa Shiruika la Bima la Taifa Tanzania NIC, wakimsikiliza Mtaja wao alipofika katika banda lao la maonesho katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Bima Zanzibar yaliofanyika katika viwanja hivyo.Mwenye miwani Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano NIC Tanzania Bi. Mwanaid Shemweta na aliyesimama Meneja wa NIC Tawi la Zanzibar Ndg. Yussuf Haji.
Meneja wa NIC Tawi la Zanzibar Ndg. Yussuf Haji akitowa maelezo ya huduma zinazotolewa na NIC kwa mteja aliyefika kujuwa huduma za bima zinazotolewa na NIC , wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Bima Zanzibar yaliofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.