Habari za Punde

MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAFANYAKAZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO ZANZIBAR YAFANYIKA.

Afisa Utumishi Idara ya Habari Maelezo Ali Suleiman Bakili (Kushoto) akizungumza machache katika Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo yaliofanyika katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Hassan Vuai(kulia) akitoa hotuba ya Ufunguzi wa  Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo yaliofanyika katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo waliopatiwa mafunzo ya Kuwajengea Uwezo wa utendaji kazi yaliofanyika katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Muwezeshaji kutoka Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora  Mussa Suleiman Maftah akiwasilisha mada Haki na Wajibu wa Mfanyakazi   katika Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo yaliofanyika katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Muwezeshaji kutoka Wizara ya Vijana Sanaa Utamaduni na Michezo Hamisuu Hamad Mohd akifafanua baadhi ya maswala yalioulizwa  katika Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo yaliofanyika katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Mfanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo Ali Issa akiuliza maswali katika  Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo yaliofanyika katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Picha na Yussuf  Simai - Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.