Waziri wa Ardhi Maji Nishati na Maakazi Zanzibar Mhe. Salama Aboud Talib akisoma Hutuba ya Bajeti ya Wizara yake kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Chukwani leo kwa ajili ya kuichangia na kuipitisha kwa matumizi ya Wizara yake kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2018/2019.
Naibu Waziri Nditiye afanya ziara Vodacom
-
* Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi
Atashasta Nditiye (wa pili kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom
Tanzania, H...
31 minutes ago
No comments:
Post a Comment