Habari za Punde

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Atoa Mkono wa Eid El Fitry Kwa Watoto wa SOS na Nyumba ya Watoto Mazizini Zanzibar.

Watoto wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar wakishangilia wakati wa kuingia msafara ya Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanziar, katika Kijiji chao kwa ajili ya kumuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar kutowa Mkono wa Eid El Fitry kwa Watoto hao wanaoishi katika Kijiji hicho. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.