Habari za Punde

KATIBU MKUU UVCCM MWL MWANGWALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI NDI Bi QUIMBAYA

Image may contain: 2 people, people sitting

Image may contain: 4 people, including Amana David, people smiling, people standing
Katibu Mkuu UVCCM Taifa Ndugu Mwl. Raymond Mwangwala amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya NDI nchini Bi Sandy Quimbaya  ofisi ndogo za UVCCM Upanga jijini Dar es Salaam mapema leo Julai 05, 2018.

Katika mazungumzo yao wamekubaliana kushirikiana katika mafunzo ya kuwajengea uwezo Vijana kiuongozi, kisiasa, matumizi ya teknolojia, ushiriki wa vijana katika kutunza umani na usalama wa nchi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.