Habari za Punde

Ngoma za Utamaduni zilivyonogesha katika Tamasha la utamaduni wa Mzanzibari

 WANAKIKUNDI cha ngoma za asili cha Msondo cha Kangagani Wilaya ya Wete, kikundi kinachoundwa na Wanawake wakionyesha umahiri wao wakupiga ngoma ya msondo, katika Tamasha la utamaduni wa Mzanzibari lililofanyika katika Viwanja vya Kangagani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WANAKIKUNDI cha Kiumbizi kutoka Pujini wakionyesha umahiri wao wa kucheza ngoma ya kiumbizi wakati watamasha la utamaduni wa mzanzibari, tambasha hilo lililofanyika katika viwanja vya Kanganani Wilaya ya Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.