Muonekano ya Ujenzi wa Jengo la Ukumbi wa Kutangazia matokeo ya Uchaguzi la Tume ya Taifa ya uchaguzi likiwa katika hatua za ujenzi jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Uhaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (kushoto) akizungumza na baadhi ya Watendaji wa Wakala wa Majengo nchini (TBA) na wataalam kutoka Chuo Kikuu Ardhi mara baada ya kutembelea eneo la mradi wa Ujenzi wa Ofisi za NEC, Njedengwa jijini Dodoma.
Picha na NEC - Dodoma
No comments:
Post a Comment