Habari za Punde

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.Mhe. Mahmoud Thabit Kombo. Azindua Tamasha la Mzanzibar Viwanja Vya Mapinduzi Square Michezani Zanzibar.

Wasanii wa Kikundi cha Uchekeshaji wakitowa burudani ya Nyimbo za Zamani wakati wa Uzinduzi wa Tamasha la 23 la Mzanzibar, linalofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Zanzibar. 
Wageni na Wananchi wa Zanzibar wakiserebuka na muziki wa Kikundi cha Uchekeshaji Zanzibar wakati wa Uzinduzi wa Tamasha la 23 la Mzanzibar katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akitembelea maonesho ya Vitu vya Mzanzibar wakati wa Uzinduzi wa Tamasha la Mzanzibar katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.