Breaking News: Aliye Kuwa Mwenyekiti Wa Kamati Ya Uongozi Wa Chama Cha Wananchi CUF Julius Mtatiro Ametangaza Kujivua Nafasi yake ya Uongozi Na Kujivua Uwanachama Wa Chama Hicho ( CUF ) Na Kuamua Kufanya Siasa Kwa Vitendo kwa Kumuunga Mkono Raisi John Magufuli.
#Zanzibar360.
No comments:
Post a Comment