Habari za Punde

Maandalizi ya Sikukuu ya Ujenzi wa Mabanda ya Biashara Katika Viwanja Vya Sikukuu Mnazi Mmoja Ukiendelea na Maandalizi Hayo ya Ujenzi Kusherehekea Sikukuu ya Eid AlHajj Kesho.

Muonekano wa viwanja vya mnazi mmoja ukiwa katika matayarisho ya ujenzi wa mabanda ya biashara kwa ajli ya kusherehekea Sikukuu ya Eid Alhajj kesho ukiendelea na ujenzi huo ukiwa katika hatua za mwisho kukamilika baada ya kufungwa mashamiana uwanja hapo kutowa fursa kwa wafanyabiasha kuyatumia kwa biashara kesho.Wafanyabiashara ya mitii wamehamishia miti hiyo katika viwanja vya mnazi mmoja kutowa fursa kwa wafanyabiashara kupata bidhaa hiyo karibu yao kuweza kukamilisha ujenzi wa mabanda katika viwanja vya sikukuu mnazi mmoja Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.