Mkurugenzi wa Jumuiya Green Light Foundation. Ndg. Salim Mussa Omar, aliahidi taasisi hiyo
itaendelea kutafuta maeneo mbali mbali
ndani na nje ili kuhakikisha wanafunzi wanasoma katika mazingira bora na
kuondokana na changamoto.
Alisema wakati taifa linaingia katika ulimwengu wa tatu lazima liwe na
wasomi na watendaji makini wenye uwezo
wa kusimamia vyema masuala ya ujenzi wa taifa na maendeleo.
No comments:
Post a Comment