Habari za Punde

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Lugola Akutana na Baadhi ya Wananchi Kusikiliza Kero Zao.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola(katikati), akimsikiliza mmoja wa wananchi,  Benadecta Kalabani (wakwanza kulia), aliyefika ofisini kwa waziri, jijini Dar es Salaam, kuelezea malalamiko  yake.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na baadhi ya wananchi waliofika Ofisi Ndogo ya wizara, jijini Dar es Salaam, jana kuwasilisha malalamiko   mbalimbali ili wapate ufumbuzi wa kero zao
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akimsikiliza mmoja wa wananchi,  Sheikh Issa, aliyefika ofisini kwa waziri, jijini Dar es Salaam, kuelezea malalamiko  yake juu ya ndugu yake kuuawa.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akimsikiliza mmoja wa wananchi,  Martha Mtungi (wakwanza kulia), aliyefika ofisini kwa waziri, jijini Dar es Salaam, kuelezea malalamiko  yake

Waziri  wa Mambo  ya  Ndani  ya  Nchi, Kangi Lugola, akimsikiliza  mmoja wa wananchi,  Joseph Ashery,  aliyefika ofisini kwa waziri, jijini Dar es Salaam kuelezea  malalamiko  yake. 
Picha  na Wizara  ya  Mambo  ya  Ndani  ya  Nchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI –WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.