Habari za Punde

Rais Dk Shein arejea nchini kutoka Indonesia katika ziara ya kikazi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiteremka katika Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa  Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud wakati wa mapokezi yake alipowasili katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  kwa kutumia Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL  akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa  Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018. 

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akifuatana na  Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud wakati wa mapokezi yake alipowasili katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akiwa na Mkewe Mama Mwanawema Shein (wa pili kulia) pamoja na Ujumbe wake  kwa kutumia Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL  akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa  Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi mbali mbali  wakati wa mapokezi yake alipowasili katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  kwa kutumia Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL  akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa  Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi  wakati wa mapokezi yake alipowasili katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  kwa kutumia Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL  akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa  Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein(katikati) pamoja na Viongozi wengine akiwa na Mazungumzo na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  baada ya mapokezi yake alipowasili akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa  Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein(katikati) pamoja na Viongozi wengine akiwa na Mazungumzo na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  baada ya mapokezi yake alipowasili akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa  Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.