Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akitia saini katika kitabu cha Maombelezo
cha Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni
nyumbani kwa marehemu,aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya
Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwapa pole familiya ya Marehemu Meja
Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni nyumbani kwa
kufiwa na baba yao aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya Taifa
Muhimbili Jijini Dar es salaam
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akitoa salamu za mwisho kwa mwili wa
Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni
nyumbani kwa marehemu,aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya
Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akitoa salamu za mwisho kwa mwili wa
Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni
nyumbani kwa marehemu,aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya
Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam
Mkuu
wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo akitoa salamu za mwisho kwa mwili wa
Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni
nyumbani kwa marehemu,aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya
Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment