Habari za Punde

Wafanyakazi wa Wakala Kisiwani Pemba Wapatiwa Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Kufanya Kazi Zao.

Afisa Mdhamini  Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria na Utumishi wa Umma na Utawala bora Zanzibar Ndg. Massoud Ali Mohamed, akifungua mafunzo ya wakala wa usajili wa matukio ya kijamii Zanzibar, kwa wafanyakazi wa wakala Kisiwani Pemba.
Muwezeshaji wa mafunzo hayo Mwanasheria wa waatisisi ya Wakala wa Usajili wa Matukio ya kijamii zanzibar Hamid Haji Machano, akiwasilisha mada juu ya sheria namba 3 ya mwaka 2018 ya wakala wa matukio ya kijamii zanzibar
Wafanyakazi wa Wakala wa usajili wa matukio ya kijamii Zanzibar, Upande wa Pemba wakifuatilia kwa makini uwasilishaji wa sheria ya uwakala wa usajili wa matukio ya kijamii zanzibar, huko katika ukumbi wa makonyo Chake Chake.
(Picha na Abdi Suleiman  Pemba )

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.