Habari za Punde

Mradi wa Ujenzi wa Mitaro ya Maji ya Mvua Mkombozi Kwa Wananchi Waliokuwa Katika Mazingira ya Maeneo Yanayojaa Maji Wakati wa Mvua za Masika Zanzibar.

Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu ya Mitaro ya kupitishia Maji ya Mvua katika maeneo mbalimbali ya Manispa ya Zanzibar imepunguza kero hiyo katika kipindi hichi cha mvua za masika kutokana na Mradi wa Mitaro hii imesaidia sana maeneo hayo kupata kadhia hiyo.
Mradi huu ukiendelea na ujenzi huo wa mitaro katika eneo la mtaro wa kwaabasi Hussein ukiwa katika zoezi hilo la kufanyiwa ukarabati mkubwa kwa kujengwa makalbi makubwa ya kuwezesha kupita maji bila ya usumbufu kwa wakazi wa eneo hilo na la jirani eneo la uwanja wa farasi na kwahani. 

Mtaro wa maji machafu wa kwa Abass Hussein ambao uko katika ujenzi wa Mradi huo mkubwa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.