Habari za Punde

Harakati na Muonekano Katika Mitaa ya Visiwa Vya Zanzibar Barabara ya Michezani

Wananchi na Wageni mbalimbali wakiwa katika maeneo ya barabara ya mtaa wa michezani Zanzibar wakati wa asubuhi huo na harakati nyingi kwa Wananchi wa zanzibar kutumia barabara hiyo kwa usafiri wa aina mbalimbali na kuufanya kuwa na msongamano wa magari ya daladala yakitowa huduma hiyo kuwasafirisha wateja wao kuwarejesha majumbani baada ya kumaliza kazi na wakati wa mchana. 

Kama inavyoonekana picha hali halisi ya barabara hiyo ikiwa katika muonekano huo katika picha. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.