Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi(Gavu)akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mdahalo ulioandaliwa na chama cha Wanasheria Wanawake Zanzibar(ZAFELA)juu ya Ushirikishwaji wa Vijana katika siasa na ngazi za maamuzi uliofanyika ukumbi wa Sanaa Rahaleo mjini Unguja.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi(Gavu)akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mdahalo ulioandaliwa na chama cha Wanasheria Wanawake Zanzibar(ZAFELA)juu ya Ushirikishwaji wa Vijana katika siasa na ngazi za maamuzi uliofanyika ukumbi wa Sanaa Rahaleo mjini Unguja.
Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Wanawake Zanzibar(ZAFELA)Bi Safia Hijja Abrass akitoa hotuba ya makaribisho katika Mdahalo ulioandaliwa na chama hicho juu ya Ushirikishwaji wa Vijana katika siasa na ngazi za maamuzi uliofanyika ukumbi wa Sanaa Rahaleo mjini Unguja.
Baadhi ya masheha na Vijana waliohudhuria katika Mdahalo ulioandaliwa na chama cha Wanasheria Wanawake Zanzibar(ZAFELA)juu ya Ushirikishwaji wa Vijana katika siasa na ngazi za maamuzi uliofanyika ukumbi wa Sanaa Rahaleo mjini Unguja.
No comments:
Post a Comment