Habari za Punde

Mkurugenzi wa Taasisi ya Green Light Foundation Akanusha Tuhuma Dhidi ya Taasisi Yake.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Green Light Foundation Mr. Salim M.Omar akikanusha tuhuma zilizotolewa na Jumuiya ya Vijana ya CUF dhidi yao za harakati zao za utoaji wa zawadi kwa Wanafunzi waliofanya vizuri Kidatu cha Sita Zanzibar. Walizo kabidhi na Taasisi ya Mimi na Wewe foundation kwa kushirikina na afisi ya mkoa wa Mjini Maghrib Zanzibar  kuwa zilikuwa Shindikizo la kuwataka vijana na kuwalazimisha kuwapa kadi za Chama Cha Mapinduzi, Ndg. Salim, akizungumza na waandishi wa habari na wanafunzi husika katika katika ukumbi wa Shirika la Bima Mpirani Zanzibar. Tuhuma hizo zilizo tolewa na Juvi cuf September 5 mwaka huu huko ofisini kwao vuga.

1 comment:

  1. siku zote maendeleo ni kujituma na kujitolea, wele wenye dhana ya kutka maendeleo bila kujituma nadhani watasubiri sana, tanaamini green light ni mkombozi wetu.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.