Mkurugenzi wa Taasisi ya Green Light Foundation Mr. Salim M.Omar akikanusha tuhuma zilizotolewa na Jumuiya ya Vijana ya CUF dhidi yao za harakati zao za utoaji wa zawadi kwa Wanafunzi waliofanya vizuri Kidatu cha Sita Zanzibar. Walizo kabidhi na Taasisi ya Mimi na Wewe foundation kwa kushirikina na afisi ya mkoa wa Mjini Maghrib Zanzibar kuwa zilikuwa Shindikizo la kuwataka vijana na kuwalazimisha kuwapa kadi za Chama Cha Mapinduzi, Ndg. Salim, akizungumza na waandishi wa habari na wanafunzi husika katika katika ukumbi wa Shirika la Bima Mpirani Zanzibar. Tuhuma hizo zilizo tolewa na Juvi cuf September 5 mwaka huu huko ofisini kwao vuga.
ZAIDI YA WAGENI 140 KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI WATEMBELEA HIFADHI YA KILWA
KISIWANI
-
Na Mwandishi Wetu, Lindi
HIFADHI ya Urithi wa Utamaduni wa Dunia ya Magofu ya Kale ya Kilwa Kisiwani
na Songo Mnara wilayani Kilwa imeendelea kuwa kivu...
2 hours ago

siku zote maendeleo ni kujituma na kujitolea, wele wenye dhana ya kutka maendeleo bila kujituma nadhani watasubiri sana, tanaamini green light ni mkombozi wetu.
ReplyDelete