Habari za Punde

Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar (ZBC) Azungumza na Mmiliki wa Pemba Cable

Mjumbe wa Bodi ya Tume ya Utangazaji Zanzibar, Ali Khatib Chwaya,akieleza machache juu Kampuni ya Pemba Cable ilivyokuwa na matatizo na kufikia Bodi kutowa maagizo .
Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar, Omar Said Ameir, akizungumza na wadau wa Pemba Cable, Wadau , watendaji na Mmiliki wa Kampuni hiyo juu Tume hiyo kuridhika kwake na utekelezaji wa magizo ya Tume kwa Mmiliki huyo.

Mmiliki wa Kampuni ya Pemba Cable, Abdalla Mbarouk Ali, akizungumza na Wateja wake huko katika ukumbi wa Wizara ya habari Pemba , juu ya tatizo lililojitokeza kwa chombo chake na kukosekana kwa baadhi yahuduma mbele ya Mrajis wa Tume ya Utangazaji .
Picha na Bakari Mussa -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.