Habari za Punde

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said Amewataka Watoto Kuzingatia Masomo Yao Ili Kutimiza Malengo Yao Katika Elimu ya Quran na ya Dunia Wakati wa Mashindano ya Kuhifadhi Quran Kanda ya Bungi Wilaya ya Kati Unguja.

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akisisitiza jambo wakati akitowa nasaha zake kwa Waumini na Wanafunzi wa Madrasa za Kanda ya Bungi wakati wa mashindano ya kusoma na kuhifadhi Quran yaliofanyika katika viwanja vya Msikiti wa Kibele Wilata ya Kati Unguja Mkoa wa Kusini.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.