Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI AKIAGANA NA WENYEJI WAKE - UKEREWE

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wenyeji wake spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Pius Msekwa na Mkewe Mama Anna Abdallah Msekwa baada ya mazungumzo yao yaliofanyika ,Ikulu ndogo,Nansio Ukerewe,Mkoani Mwanza.
 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akiongozana na wenyeji wake spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Pius Msekwa na Mkewe Mama Anna Abdallah Msekwa,Ikulu ndogo,Nansio Ukerewe,Mkoani Mwanza.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wenyeji wake spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Pius Msekwa na Mkewe Mama Anna Abdallah Msekwa,Ikulu ndogo,Nansio Ukerewe,Mkoani Mwanza.
Septemba 5,2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.