Habari za Punde

Uwanja wa Mpira wa Mnazi Mmoja Ukiwa katika Ubora Wake wa Zamani.

Uwanja wa Mpira wa Mnazi Moja Zanzibar ukiwa katika hali yake ya zamani baada ya kufanyiwa ukarabati wa kuondoa maji yanayotuwama wakati wa mvua za masika, uwanja huo umefanyika miundombinu ya kuondoa maji katika uwanja huo na Kampuni ya Kichina kwa kuwekwa mitaro mikubwa kupitisha maji hayo hadi baharini. 
Uwanja huo kwa sasa uku katika mazingira mazuri na unahitaji kufanyiwa ukarabati zaidi ili kuweza kuchezewa kwa vipindi vyombo vya kiangazi na masika ili kuweza kurudisha hali ya mchezo wa mpira kama zamani na kutowa vipaji kupitia uwanja huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.