Habari za Punde

Maandalizi ya Msimu wa Utalii Visiwani Zanzibar Yakianza Kwa Msimu Mpya Zanzibar.

Wafanyabiashara wa Utalii Zanzibar wakiwa katika maandalizi ya msimu huo kwa kuzifanyia ukarabati boti zinazotoa huduma ya usafiri katika Visiwa vya Historia ya Zanzibar, kama walivyokutwa wakiwa katika zoezi hilo la kuzifanyia ukarabati wa kupata rangi na kuzikalafati katika ufukwe wa pwani ya forodhani Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.