Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Watanzania Wanaoishi Nchini China.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri yaMuungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga wakati alipowasili kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing nchini China, Septemba 2, 2018. Kushoto ni Waziri wa Madini, Angela Kairuki.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akisalimiana na mke wa Balozi wa Tanzania nchini China na  Waziri wa Madini, Angela Kairuki wakati alipowasili kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing China kuzungumza na Watanzania, Septemba 2, 2018. Katikati ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akipokea ua kutoka kwa mtoto Johari Said Nassor, wakati alipowasili kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing kuzungumza na Watanzania  waishio nchini China,
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania waishio nchini China akiwa nchini humo kuhudhuria Mkutano, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing,
Baadhi ya Watanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao Kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing nchini China
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Watanzania waishio nchini China baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania waishio nchini China baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing nchini China Septemba 2, 2018. Kulia kwake ni Waziri wa mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga na kushoto kwake ni Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.