Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Atembelea Eneo Ilikozama MV. Nyerere.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela  (katikati) na Mkuu wa Mjeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo kuelekea katika eneo kilipozama Kivuko cha MV Nyerere katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe, Septemba 21, 2018. Kivuko hicho kinatoa huduma kati ya Kisiwa  cha Ukara Kisiwa cha Bugorola.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama eneo kilipozama   Kivuko cha Mv Nyerere kinachotoa huduma kati ya kisiwa cha Ukara na Bugorola  wilayani Ukerewe wakati alipowasili kwenye kisiwa cha Ukara kujionea shughuli za uokoaji Septemba 21, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.