Habari za Punde

Wizara ya Afya Zanzibar Yatiliana Saini ya Makubaliano na Kampuni ya Novartis Kuhusiana na Urahisishaji wa Kupata Habari ya Upungufu wa Dawa Katika Vituo Vya Afya Unguja na Pemba Kupitia Mtandao wa Vodacom.
Afisa wa Ushirikiano wa Ubalozi wa Switzerland Bi. Romana Tedeschi akizungumza na kutowa salamu za Nchi yake wakati wa hafla ya utilianaji wa saini ya makubaliano ya miaka miwili kati ya Kampuni ya Novartis na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Afya Zanzibar kupata habari za sms kutoka katika Vituo vya Afya vya Unguja na Pemba kuhusiana na upungufu wa wa dawa katika vituo hivyo kupitia Mtando wa Simu wa Vodacom.

 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.