Habari za Punde

MCT Yatowa Mafunzo Kwa Waandishi wa Habari na Wahariri wa Vyombo vya Habari Kuhusiani na Haki za Binaadamu na Uwazi Civic Space In Tanzania.


Mratibu wa Baraza la Habari Tanzania MCT, Zanzibar  Bi. Shifaa Said Hassan akizungumza na kutowa maelezo kuhusiana na Mkutano wa Mafunzo kwa Waandishi wa Habari wa Wanaharakati Zanzibar kuzungumzia Civic Space Tanzania,mafunzo hayo yakifanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Mazsons Shangani Zanzibar.
Muwezeshaji wa Mafunzo ya Waandishi wa Habari na Wanaharakati Zanzibar kuhusiana na "Forum on Shrinking Media and Civic Space inTanzania"  Ndg Henry Owino Opondo akiwasilisha mada yake kwa Waandishi wa Habari na Wanaharakati Zanzibar kuhusiana na Sauti za Wanahabari kusikika kwa Wananchi, mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Mazsons Shangani Zanzibar.  
Mwanasheria wa MCT Ndg Humphrey Mtuy akizungumza wakati wa hafla hiyo ya mafunzo kwa Waandishi wa habari na Wanaharakati Zanzibar, mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Mazsons Shangani Zanzibar.
Waandishi wa Habari na Wanaharakati Zanzibar wakifuatilia mafunzo hayo kuhusiana na Sauti za Wanahabari Tanzania, mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Mazsons Shangani Zanzibar.
Waandishi wa habari wakifuatilia Mada wakati ikiwasilishwa na Mtoa mada katika ukumbi wa hoteli ya Mazsons Shangani Zanzibar, Mafunzo hayo yameandaliwa na Baraza la Habari Tanzania MCT. 
Waandishi wakiwa makini wakifuatilia Mafunzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Mazsons Shangani Zanzibar.
Muandishi wa Habari Muandamizi Zanzibar Ndg Salim Said Salim akichangia Mada wakati wa mafunzo hayo akisisitiza jambo baada ya kuwasilishwa Mada kwa Waandishi wa Habari Zanzibar mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Mazsons Shangani Zanzibar.
Mwandishi wa Habari Muandamizi Zanzibar Ndg. Ali Sultan akichangia Mada wakati wa mafunzo hayo ya Waandishi wa Habari Zanzibar yalioandaliwa na MCT Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Mazsons Shangani Zanzibar.
Muwasilishaji Mada Ndg. Henry Owino Opondo akiwailisha Mada yake kwa Waandishi wa habari Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Mazsons Shangani Zanzibar, yaliowashirikisha Waandishi na Wanaharakati Zanzibar.yalioandaliwa na Baraza la Habari Tanzania MCT.  
Mshauri wa Mambo ya Mawasiliano na Vyombo Vya Habari Zanzibar Dkt. Abdallah Mohammed Juma akiwasilisha Mada yake kuhusiana na Waandishi wa Habari kuhusiana na Mafunzo hayo ya Waandishi wa Habari Zanzibar yaliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli Mazsons Shangani Zanzibar.
Muwasilishaji Mada kutoka Chuo Kikuu cha Zanzibar Daktari Ali Uki akitowa Mada kuhusiana na Sheria wakati wa mafunzo hayo ya Waandishi wa habari Zanzibar yalioandaliwa na Baraza la Habari Tanzania MCT, yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Mazsons Shangani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.