Habari za Punde

Wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Trifonia Academy Fuoni Zanzibar Wakisherehekea Miaka 20 ya Skuli Hiyo Kuazishwa Kwake na Mahafali ya 13 ya Darasa la 6 na Kidatu cha Nne.

Wanafunzi wa Skuli ya Trifonia Academy Fuoni Zanzibar wakionesha maonesho ya Mavazi mbalimbali weakati wa Sherehe za kuadhimisha Miaka 20 ya Skuli hiyo ya Msingi na Sekondari wakati wa hafla ya Mahafali ya 13 ya Wanafunzi wa Kidatu Cha Nne na Darasa la Sita baada ya kumaliza masomo yao ya awali, Hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Skuli hiyo Founi Zanzibar.
Wakiwa katika Vazi la Kiarabu  wakati wa hafla hiyo ya sherehe hizo.
Wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Trifonia Academy Fuoni wakiwa katika vazi la Asili ya Zanzibar la Kanga na Kanzu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.