Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa Jumuiya ya Wazazi, Dkt. Shaban Hassan Haji, akibidhi fedha kwa Wanachama wa Kikundi cha Bora Ukweli cha Muyuni A Unguja baada ya kukamilika michango ya Wanachama wa Kikundi hicho kutimiza miaka miwili ya Mzunguko.
Na kuwapongeza Wanachama hao kwa umoja wao kuweza kujiwekea hakiba na kuweza kupata mgawio wao jumla ya wanachama 30 wamefaidika na mchango huo.
No comments:
Post a Comment