Habari za Punde

Mkutano wa Kitaifa wa Wadau wa Habari Tanzania "National Forum On Shrinking Media And Civic Space" Wafanyika Zanzibar Hoteli ya Ocean View Kilimani.

 
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania MCT Ndg. Kajubi Mukajanga akifungua mkutano huo wa Kitaifa wa Wadau wa Habari Tanzania kusikika uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar, Mkutano huo umewashirikisha Wahariri na Wadau wa Habari kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.
Baadhi ya Wadau wa Habari wakifuatilia mkutano huo wa Mafunzo ulioandaliwa na Baraza la Habari Tanzania MCT, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar. 
 Afisa wa Baraza la Habari Tanzania MCT Bi. Pili Mtambalike akizungumza wakati wa ufunguzi huo wa Mkutano wa Kitaifa Mafunzo ya kuzungumzia kuhusiana na Civic Space,uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Muwezeshaji wa Mada katika Mkutano wa Mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Media and Civic Space Shrinking in Tanzania ? akitowa maelezo ya Mikutano miwili iliofanyika Zanzibar na Dar es Salaam. kuzungumzia maswala hayo.Akitowa Mijadali ya pande hizo mbili na kuwasilisha kwa Wajumbe.  No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.